Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Klabu ya Yanga Sc imekubali kichapo cha bao 1-2 dhidi ya Les Aigles Du Congo katika mchezo wa Yanga Day uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru.
Matokeo hayo yamekuja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Yanga Day, huku Les Aigles Du Congo ikiibuka na ushindi muhimu mbele ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza kushuhudia mchezo huo.
====
Timu ya Wananchi Yanga leo wanaonyesha ukubwa wao tena katika tamasha lao kubwa sana la Wiki ya wananchi ambayo inafanyika kila mwaka ambapo kwa mwaka huu linafanyika leo Agosti 9, 2026 na linakuwa tamasha la 8 tangu kuanzishwa kwake 2019
Tamasha hili ni fursa kwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kusherehekea mafanikio ya timu yao, kufurahia michezo mbalimbali, na kushuhudia uzinduzi wa wachezaji wapya.
Tamasha hili ni pamoja na:
Kuna maonyesho ya bidhaa mbalimbali, huduma, na matangazo ya wadhamini wa klabu.
Kauli mbiu ya Mwaka huu ni Mwakani Tena moja ya kauli mbiu yenye nguvu katika kulekea msimu ujao wa 2026/2027 wa kuendelea kubeba makombe yote na kuyatetea

- Mechi za Kirafiki Yanga watacheza na Les Aigles Du Congo
- Burudani: Wasanii mbalimbali watatumbuiza wakiwemo Ndaro, Dudubaya, Kidensa, Madee, Chidbenzi na wengine ambao wataendelea kuwatangaza. Huku kukiwa na washereshaji zaidi ya 10