Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Welcome to the club, hizi team zimeshakuwa mind control apparatus by gov, infact timu moja wapo kwenye kuwnzishwa kwake lilikuwa ndio lengoNaam, miaka kama 2 nyuma nilivyogundua hiki kitu na nilipokuwa naelekea, niliamua kuachana na haya mambo. Now huwa sihusiki kwa chochote wala ushabiki wowote wa simba na yanga kabisa.
kuwa shabiki wa simba au yanga maana yake umechukua akili zako zote timamu umempa mtu akusaidie kukuendeshea huku wewe ukiwa unatumia maji kichwani.