Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Wachezaji wa Yanga wengi wanafahamiana. Muunganiko utategemea na upangaji wa kikosi.Kwa jicho la kitaalamu Yanga Bado haijaungana..nashangaa waliokuwa busy tu kwenda Katoro kwenye show off
Wachezaji wa Yanga wengi wanafahamiana. Muunganiko utategemea na upangaji wa kikosi.Kwa jicho la kitaalamu Yanga Bado haijaungana..nashangaa waliokuwa busy tu kwenda Katoro kwenye show off
Kwa mechi hizi mbili nimepata hofu na tar 12. Naona kama Yanga wapo vizuri kutushinda japo kikosi chetu hakijabadilika sana.Ni mechi nzuri yenye quality ya juu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Maigizo yameisha,tuwape mechi tano za ushindani,wachezaji walio sajiliwa msimu huu tuone yaliyomo yamo.
Sio "kama vipi"...Kama vipi tukutane kwenye Ngao ya Jamii! Huko kwenu tutamuona Osimhen Ibrahim Doumbia akipambana na Captain Mwamnyeto.
Labda kama wachezaji watakao cheza mechi zote za ligi ni wale watoto wa Kizanzibari.Japo nimefurahi...
Ila hili tukio la kufungwa kwa Yanga lina maanisha tuna nguvu sawa...
Hivyo huu msimu utakua mgumu...
Nafikiri tofauti itakua kwenye magoli ya kufungwa na kufunga.
Tena ile ya ndoano na dukani hazipoMgeni kaondoka na charger
Jaribu kutumia JF AIJaribu kusamaraize gazeti lako, unachosha wasomaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakane kwamba si wachezaji wa Yanga!!...Labda kama wachezaji watakao cheza mechi zote za ligi ni wale watoto wa Kizanzibari.
Wachezaji wenye hadhi ya kuchezea Yanga (wale wanaotokea Zanzibar) hawazidi watatu. Waliobakia wote ni magarasa tu. Baca, Mudhir na Mussa aliyekuwa Mashujaa ndiyo wanakidhi vigezo.Wakane kwamba si wachezaji wa Yanga!!...
Mliwakodi Zanzibar na hawatakua Sehemu ya kikosi chenu baada ya leo!!
Jikaze mzee maana tarehe 12 hata huyo shasha mtamkataa...Wachezaji wenye hadhi ya kuchezea Yanga hawazidi watatu. Waliobakia wote ni magarasa tu.
Mkisikia kocha amefukuzwa baada ya mechi chache, msishangae! Ana kikosi cha wachezaji wengi wazuri. Mtihani kwake ni namna ya kuwatumia ili wampatie matokeo.Jikaze mzee maana tarehe 12 hata huyo shasha mtamkataa...
Playing profile ya yanga imebebwa na wachezaji wachache, wakiumia au kuondoka wanaokuja wananshindw akubadopt or wanapata shida kuelewaMkisikia kocha amefukuzwa baada ya mechi chache, msishangae! Ana kikosi cha wachezaji wengi wazuri. Mtihani kwake ni namna ya kuwatumia ili wampatie matokeo.
Kama ataamua kumchezesha yule U20 full back 3 na kuwaacha Zimbwe na Boka nje, lazima kimkute.
Wachezaji wa kikosi cha kwanza wanaokosekana msimu huu ni Dube, Pacome na Job ambaye aliumia kitambo. Waliobakia wote wapo. Kwa hiyo kocha ataamua mwenyewe kujichimbia kaburi.Playing profile ya yanga imebebwa na wachezaji wachache, wakiumia au kuondoka wanaokuja wananshindw akubadopt or wanapata shida kuelewa
Ndicho kinachoendelea yanga, key players wakikaa pembeni ni crisis
Kocha awe makini maana soka la bongo halina huruma kwnamakocha
1 2Ngapi ngapi