FT: Yanga Day | Agosti 9, 2026 | Uwanja wa Uhuru | Yanga 1: 2 Les Aigles Du Congo. Yanga Day yaingia Doa

Mna uhakika hii ni friendly match?

Hawa wajuba wanajua kuwa hii ni bonanza?

Rai yangu, wangeulizwa huwenda walisikia vibaya.

Huwenda wanajua nje kuna kombe.
Wamealikwa wakaalikika.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Nadhani Yanga haikufanya calculation of the risk kui host timu ya daraja la juu kwenye event yao huku wakiwa na siku chache kuelekea mechi muhimu.

Wachezaji waliocheza second half wametumia energy nyingi sana na hata hivyo viatu vimepigwa mno maana hawa wakongo wako very rough.

Hii ni mechi yenye hadhi ya CAF Champion league kabisa. Ingechezwa katika kipindi ambacho muda upo wa kutosha kujiandaa na mechi ya ngao ingekuwa faida zaidi kwa Yanga kuliko ilivyokuwa saizi.
 
Mashapigwa ee
 
Ahueni hata kocha wa Yanga anawajaribisha wachezaji wengi kama siyo wote. Steve Barker jana alianza na wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza na bado akapoteza.
Kupoteza n kupoteza tuu, acheni mbwembwe kwenye 0
 
Nadhani Yanga haikufanya calculation of the risk kui host timu ya daraja la juu kwenye event yao huku wakiwa na siku chache kuelekea mechi muhimu.

Wachezaji waliocheza second half wametumia energy nyingi sana na hata hivyo viatu vimepigwa mno maana hawa wakongo wako very rough.

Hii ni mechi yenye hadhi ya CAF Champion league kabisa. Ingechezwa katika kipindi ambacho muda upo wa kutosha kujiandaa na mechi ya ngao ingekuwa faida zaidi kwa Yanga kuliko ilivyokuwa saizi.
Bro tutachambua kesho

FT 1-2
 
Maigizo yameisha,tuwape mechi tano za ushindani,wachezaji walio sajiliwa msimu huu tuone yaliyomo yamo.
 
Nadhani Yanga haikufanya calculation of the risk kui host timu ya daraja la juu kwenye event yao huku wakiwa na siku chache kuelekea mechi muhimu.

Wachezaji waliocheza second half wametumia energy nyingi sana na hata hivyo viatu vimepigwa mno maana hawa wakongo wako very rough.

Hii ni mechi yenye hadhi ya CAF Champion league kabisa. Ingechezwa katika kipindi ambacho muda upo wa kutosha kujiandaa na mechi ya ngao ingekuwa faida zaidi kwa Yanga kuliko ilivyokuwa saizi.
Jaribu kusamaraize gazeti lako, unachosha wasomaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom