ngapi ngapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga wapo nyuma kwa goli moja. 1-2[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nini kimetokeaaaaaa??
ngapi ngaBora hata Yanga leo timu imecheza na upinzani umeonekana
ngapi ngapi mkuuBora hata Yanga leo timu imecheza na upinzani umeonekana
Wacha wee!! [emoji23][emoji23][emoji23]Fei ametangazwa huko
ngapi ngapiAhueni hata kocha wa Yanga anawajaribisha wachezaji wengi kama siyo wote. Steve Barker jana alianza na wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza na bado akapoteza.
[emoji23][emoji23][emoji23] kikosi kipana, em utulie.Ahueni hata kocha wa Yanga anawajaribisha wachezaji wengi kama siyo wote. Steve Barker jana alianza na wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza na bado akapoteza.
Alaaah kumbee??Yanga wapo nyuma kwa goli moja. 1-2
Na kwa nini tuukimbie! Labda nitakimbia tarehe 12 ikitokea tu kocha akapanga wachezaji wake wenye uwezo wa kawaida kama alioanza nao leo, badala ya watu wa kazi.huu uzi mushaukimbia😁😁
Mabilioni ya fedha yanatumika ktk sherehe ya leo halafu kombe la Africa Anatolewa na vital ya BurundiLeo burudani ilipitiliza! Wananchi tumecheza sana! Waanzilishi wa Bongo fleva walitia fora ukimuondoa tu Dudubaya ambaye matusi ndiyo yamejaa mdomoni mwake..
Yanga 1 Aigles Du Congo 2! Tuko poa tu. Kocha anafanya majaribio ya kikosi. Hakuna sababu ya kukamia mechi ya kirafiki na wakati Jumatano kuna mechi ngumu ya Ngao ya Jamii.ngapi ngapi
[emoji23][emoji23][emoji23] TM unachekesha ikiwa wewe sio ndugu yako.Yanga 1 Aigles Du Congo 2! Tuko poa tu. Kocha anafanya majaribio ya kikosi. Hakuna sababu ya kukamia mechi ya kirafiki na wakati Jumatano kuna mechi ngumu ya Ngao ya Jamii.
Uto mkifungwa mnajaribu kikosi ila simba walikua wanatafut kombe eti?Yanga 1 Aigles Du Congo 2! Tuko poa tu. Kocha anafanya majaribio ya kikosi. Hakuna sababu ya kukamia mechi ya kirafiki na wakati Jumatano kuna mechi ngumu ya Ngao ya Jamii.
dakika ya ngapi mkuuYanga 1 Aigles Du Congo 2! Tuko poa tu. Kocha anafanya majaribio ya kikosi. Hakuna sababu ya kukamia mechi ya kirafiki na wakati Jumatano kuna mechi ngumu ya Ngao ya Jamii.