Simba na Yanga ni ugonjwa kamili wa akiliAhueni hata kocha wa Yanga anawajaribisha wachezaji wengi kama siyo wote. Steve Barker jana alianza na wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza na bado akapoteza.
[emoji23][emoji23][emoji23]Jaribu kutumia JF AI
[emoji23][emoji23][emoji23]Wachezaji wenye hadhi ya kuchezea Yanga hawazidi watatu. Waliobakia wote ni magarasa tu.
Umeongea bila kuweka ushabikiNi mechi nzuri yenye quality ya juu.
Mkuu umechanganyikiwa..nenda tu kweny jukwaa letu la siasa..huku naona kunakupalia..hapo juu umesema wachezaji wenye hadhi ya kuchezea yanga ni wa3 tu...hapa unasema yanga inawachezaji wengi wazur ila kocha mizinguo big time..huoni unajipiga shot mwenyew?Mkisikia kocha amefukuzwa baada ya mechi chache, msishangae! Ana kikosi cha wachezaji wengi wazuri. Mtihani kwake ni namna ya kuwatumia ili wampatie matokeo.
Kama ataamua kumchezesha yule U20 full back 3 na kuwaacha Zimbwe na Boka nje, lazima kimkute.
Apostle[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nini kimetokeaaaaaa??
Wewe hujanielewa! Jana kwenye utambulisho walitolewa mbele karibia wacheza sita/saba kutokea Zanzibar! Kwenye ile orodha ni Ibrahim Baca, Mudathir Yahya Abbas na beki mwingine Mussa aliyekuwa Mashujaa ndiyo niliowaona wana sifa ya kchezea Yanga.Mkuu umechanganyikiwa..nenda tu kweny jukwaa letu la siasa..huku naona kunakupalia..hapo juu umesema wachezaji wenye hadhi ya kuchezea yanga ni wa3 tu...hapa unasema yanga inawachezaji wengi wazur ila kocha mizinguo big time..huoni unajipiga shot mwenyew?
Siyo kila mtu anazichukulia kwa uzito huo hizo simba na Yanga. Mfano ni mimi hapa! Jana nililala vizuri na leo nimeamka vizuri kuendelea na shughuli zangu za kula siku. Kwangu mimi mpira ni burudani tu na wala siyo ugonjwa wa akili.Simba na Yanga ni ugonjwa kamili wa akili
Naam, miaka kama 2 nyuma nilivyogundua hiki kitu na nilipokuwa naelekea, niliamua kuachana na haya mambo. Now huwa sihusiki kwa chochote wala ushabiki wowote wa simba na yanga kabisa.Simba na Yanga ni ugonjwa kamili wa akili
Unless kama wewe sio shabiki wa timu yoyote kati ya hizo ila kama unashabikia timu yoyote hapo basi lazima utakuwa na ugonjwa wa akili tuSiyo kila mtu anazichukulia kwa uzito huo hizo simba na Yanga. Mfano ni mimi hapa! Jana nililala vizuri na leo nimeamka vizuri kuendelea na shughuli zangu za kula siku. Kwangu mimi mpira ni burudani tu na wala siyo ugonjwa wa akili.
Vijana mnapenda sana kulazimisha mambo! Mimi nimeanza kuishabikia Yanga tangu miaka ya 90! Ugonjwa wa akili unatoka wapi? Kwenye maisha ni jambo la kawaida kutafuta vitu vinavyokupa furaha. Kwa hiyo waache watu wafurahie maisha yao, kwa sababu hayakuathiri chochote.Unless kama wewe sio shabiki wa timu yoyote kati ya hizo ila kama unashabikia timu yoyote hapo basi lazima utakuwa na ugonjwa wa akili tu
Hata bangi na pombe kuna watu wakivuta/kunywa haziwavurugi! Halafu wakati huo huo kuna watu wengine wakitumia, wanachanganyikiwa. Hivyo umefanya uamuzi sahihi. Ila sisi wengine tutaendelea pasipo kichanganyikiwa.Naam, miaka kama 2 nyuma nilivyogundua hiki kitu na nilipokuwa naelekea, niliamua kuachana na haya mambo. Now huwa sihusiki kwa chochote wala ushabiki wowote wa simba na yanga kabisa.
kuwa shabiki wa simba au yanga maana yake umechukua akili zako zote timamu umempa mtu akusaidie kukuendeshea huku wewe ukiwa unatumia maji kichwani.