FT: Yanga Day | Agosti 9, 2026 | Uwanja wa Uhuru | Yanga 1: 2 Les Aigles Du Congo. Yanga Day yaingia Doa

Welcome to the club, hizi team zimeshakuwa mind control apparatus by gov, infact timu moja wapo kwenye kuwnzishwa kwake lilikuwa ndio lengo
 
Sio kwamba ni mbaguzi ila Yanga sijuwi walifikiri nini kuwaalika hao wakongo wakati kuna mlipuko wa ebola huko kwao.

Kuna mambo mengine hawa vyura huwa wanafanya tu na ipo siku yatatugharimu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chezea utopolo wewee, Hadi Benzema wanae, wee huogopii??
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo kila mtu anazichukulia kwa uzito huo hizo simba na Yanga. Mfano ni mimi hapa! Jana nililala vizuri na leo nimeamka vizuri kuendelea na shughuli zangu za kula siku. Kwangu mimi mpira ni burudani tu na wala siyo ugonjwa wa akili.
Ila wee TM khaah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo kila mtu anazichukulia kwa uzito huo hizo simba na Yanga. Mfano ni mimi hapa! Jana nililala vizuri na leo nimeamka vizuri kuendelea na shughuli zangu za kula siku. Kwangu mimi mpira ni burudani tu na wala siyo ugonjwa wa akili.
Wewe ndio Mimi kabisaa mkuu
 
Watafute namba kumi timu haina muunganiko mzuri pale mwisho okello hatoshi
 
S Onesha kweny reply yako kwamba umespecify wachezaji ambao umewataja sasa hiv
 
S
Onesha kweny reply yako kwamba umespecify wachezaji ambao umewataja sasa hiv
Nilimjibu mtu mwingine, wewe na baadhi ya ndgu zako mkayachukua hayo maelezo na ku generalize. Hivyo sina muda wa kuyatekeleza hayo matakwa yako.
 
Nilimjibu mtu mwingine, wewe na baadhi ya ndgu zako mkayachukua hayo maelezo na ku generalize. Hivyo sina muda wa kuyatekeleza hayo matakwa yako.
Basi twende tu kweny siasa mkuu due kuitetea yanga ni kama kuwanadi ccm tu indirect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…