FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Hii inchi sijui wapi tunaweza, nyanja zote ni tia maji tia maji. Hopeless kabisaa
 
Simba iliingia fainali ya kombe la shirikisho mwaka 1993, iweje useme kwa mara ya kwanza?
Kombe Mashud Abiola rais wa Nigeria ndiyo kombe la shirikisho? Wewe vipi?
Kwanza haikuwa ligi.
Ilikuwa mtoano.
Niendelee kusema?
Pamba FC walikuwa wanani maaka huo?
Uliza kwa wakubwa badala ya kukurupuka kama mende
 
Mwanga umeimarika...

Naona kama timu zinarudi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo...

Hadi sasa hatma ya mechi haijakuwa wazi...
Wakati timu zimeingia ndani, aibu kubwa sana kwa taifa letu.
 
Kombe Mashud Abiola rais wa Nigeria ndiyo kombe la shirikisho? Wewe vipi?
Kwanza haikuwa ligi.
Ilikuwa mtoano.
Niendelee kusema?
Pamba FC walikuwa wanani maaka huo?
Uliza kwa wakubwa badala ya kukurupuka kama mende
Aahhaa

Mkuu usimfanye sana huyo kolo asije akakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…