mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #401
Hii inchi sijui wapi tunaweza, nyanja zote ni tia maji tia maji. Hopeless kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kombe Mashud Abiola rais wa Nigeria ndiyo kombe la shirikisho? Wewe vipi?Simba iliingia fainali ya kombe la shirikisho mwaka 1993, iweje useme kwa mara ya kwanza?
Wakati timu zimeingia ndani, aibu kubwa sana kwa taifa letu.Mwanga umeimarika...
Naona kama timu zinarudi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo...
Hadi sasa hatma ya mechi haijakuwa wazi...
Mara ya pili au tatu hii kwanini hawajifunzi?
Waziri anafanya kazi gani?Hii inchi sijui wapi tunaweza, nyanja zote ni tia maji tia maji. Hopeless kabisaa
Hutosikia kenge waimba mapambio wakisifu hiloMama anaupiga mwingi..
Haiwezi kutokea, zaidi tu game itarudiwaSubirini CAF waitoe Yanga Kwa uzembe wa watu wachache wapumbavu.
Anajikomoa mwenyewe kwa kuyakumbatia majinga badala ya kuyawajibishakuna kundi la wahuni wanamkomoa MAMA ila watanzania tuko nae begakwabega
nimesoma komenti yako kwa masikitikokuna kundi la wahuni wanamkomoa MAMA ila watanzania tuko nae begakwabega
AahhaaKombe Mashud Abiola rais wa Nigeria ndiyo kombe la shirikisho? Wewe vipi?
Kwanza haikuwa ligi.
Ilikuwa mtoano.
Niendelee kusema?
Pamba FC walikuwa wanani maaka huo?
Uliza kwa wakubwa badala ya kukurupuka kama mende