wewe uliye ingia na mimi nilietoka mapema tunapishana niniNje ya mashijdano yapi? Malizia sentensi ikamilike ili tukuulize kama uliingia.
Yanini mateso kalaleSi Yanga si Rivers hamna kitu
Nipo mkuu za huko ulipo?Halafu mwananchi mwenzangu umeadimika sana. Tutafutane bhana. Maisha yenyewe ni mafupi haya.
dogo amekuwa na akili ya chama anachelewa sana kutoa mipiraNabi sekandi hafu usirudi na Aziz Ki anapoteza mipira kirahisi na hayuko mchezoni kabisa
FactsTia Musonda, tia Moloko kazi itaisha
Mudathir si tulikubaliana kuwa ndio kiungo mkabaji bora kuliko wote nchini?Nabi afanye sub turud kwenye back 4-2-1-1 au 3-5-2 amtoe mzize na mudathir ili ki acheze na 10 then aingie moloko na kisinda/musonda.
MKUU TUNZA HII:Wachezaji wakibongo wanapewa sana nafasi na Nabi ila wanazingua, sasa Mzize anapoteza mipira anakosa magoli,kesho akiwekwa benchi analalamika.
Wewe hukutoka mapema, ilishindikana kuingia ndo maana upo huko ulipo.wewe uliye ingia na mimi nilietoka mapema tunapishana nini
aya utachagua wewe uishie robo fainali club bingwa ama ufike fainal shirikisho utachagua ww
Wajinga wengi lazima wawe na upeo huoUna wivu wa kike
Hiyo mechi ndiyo itakayo mfukuza kocha wa robo fainali FC
Huyo kwa sasa hivi ana mambo mengi mkuu!!Huyo mnaemuita Clement sijui Abdul maana kabadili dini hana akili ya Mpira ila anajua kucheza
Unamuelekeza Profesa? πππNabi afanye sub turud kwenye back 4-2-1-1 au 3-5-2 amtoe mzize na mudathir ili ki acheze na 10 then aingie moloko na kisinda/musonda.
Hiyo mechi ndiyo itakayo mfukuza kocha wa robo fainali FC