zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
wewe uliye ingia na mimi nilietoka mapema tunapishana niniNje ya mashijdano yapi? Malizia sentensi ikamilike ili tukuulize kama uliingia.
aya utachagua wewe uishie robo fainali club bingwa ama ufike fainal shirikisho utachagua ww