FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Nje ya mashijdano yapi? Malizia sentensi ikamilike ili tukuulize kama uliingia.
wewe uliye ingia na mimi nilietoka mapema tunapishana nini

aya utachagua wewe uishie robo fainali club bingwa ama ufike fainal shirikisho utachagua ww
 
Nabi afanye sub turud kwenye back 4-2-1-1 au 3-5-2 amtoe mzize na mudathir ili ki acheze na 10 then aingie moloko na kisinda/musonda.
Mudathir si tulikubaliana kuwa ndio kiungo mkabaji bora kuliko wote nchini?
 
Wachezaji wakibongo wanapewa sana nafasi na Nabi ila wanazingua, sasa Mzize anapoteza mipira anakosa magoli,kesho akiwekwa benchi analalamika.
MKUU TUNZA HII:

Nabi ndie kocha wa baadae wa taifa stars so anaanza kuiandaa timu yake mapema!!
 
wewe uliye ingia na mimi nilietoka mapema tunapishana nini

aya utachagua wewe uishie robo fainali club bingwa ama ufike fainal shirikisho utachagua ww
Wewe hukutoka mapema, ilishindikana kuingia ndo maana upo huko ulipo.
 
Kwa ujumla sipendi mpira wa YANGA wa kupoa sana. Mchezaji akipoteza mpira anastarehe haraka,hakimbii kusaka mpira tena. Mpira wa bongo bado sana.
Na Huyu Mzize nimempigia sana debe,lakini anakosaje ujanja mdogo tu pale kumchop kipa. Mshambuliaji mzuri lazima uwe na utundu kwenye hatua za mwisho zile.
Nikimuangalia Vinicius Junior na hawa wetu hawa,bado sana. Ni mbingu na ardhi
 
Shabiki wa Yanga kwa Mkapa , alikua anaonekana meno tu😀😀
 

Attachments

  • IMG-20230430-WA0002.jpg
    IMG-20230430-WA0002.jpg
    13.3 KB · Views: 1
Mimi ni mnyama ila nimewawekea mzigo yanga wapate magoli 2 au zaidi lakini sijui hata wanafanya upuuzi gani uwanjani ebu pigen hao wanaija 3 mtungi fasta muokoe mpunga wangu
 
Second half imeanza...

Dk 46

Yanga 0 - 0 Rivers

Mzize out, Moloko in...
 
Uwanja wa zamani wa Uhuru ulikuwa na kawaida kwamba goli la kaskazini halilali njaa...

Kwa huu uwanja mpya sijui kama bado hiyo hali ipo, ni goli ambalo yupo Rivers hii second half
 
Back
Top Bottom