Akikusikia mwenyewe patachimbika.Kila la kheri Chama langu Yanga..
Naipenda Yanga kuliko hata Demu wangu[emoji2]
Demu wangu ye anajua Facebook, Whatsapp na InstagramAkikusikia mwenyewe patachimbika.
Wajinga kabisaWanaigeria ni matapeli wazoefu wapuuzi snaa
Simba gani hiyo? Hizi ni akili alizozikataa RageMnahitaji baraka za Simba ili mfike huko maana ndiyo timu pekee ya TZ imewahi kukanyaga anga hizo mnazoota kufika. Tambo zenu zitawaponza.
Saa moja kamili UsikuMechi saa ngapi hio?
Google fala ananiambia saa 2.Saa moja kamili Usiku
Hawana hiyo jeuri, nipe pale kwa Mkapa kuona Uto wakisambalatika kimasihara 😜Yanga watakuwa na kiu ya kulipa kisasi cha kufungwa na hawa Rivers nje ndani hivyo watakuwa na kila sababu ya kupata ushindi kwenye ardhi ya nyumbani,
Hesabu za kutoa na kujumlisha unajua kweli?Yanga itafungwa 1-0, wataenda hadi penati na Yanga atatoka Kwa Penati.
Analazimisha kuujua mpira wakati umeshamkataa.Hesabu za kutoa na kujumlisha unajua kweli?