FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Uwanja umeanza kupendeza[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
20230430_165427.jpg
 
Yanga watakuwa na kiu ya kulipa kisasi cha kufungwa na hawa Rivers nje ndani hivyo watakuwa na kila sababu ya kupata ushindi kwenye ardhi ya nyumbani,
Hawana hiyo jeuri, nipe pale kwa Mkapa kuona Uto wakisambalatika kimasihara 😜
 
UZI UMEPOA KAMA MGONJWA WA U.T.I
Kila la kheri Rivers united [emoji1184][emoji1184][emoji1184]
 
Back
Top Bottom