Wanazingua wameanza vizuri ila wamepoteanaHata uzi wao hawana hamu nao..Mungu awaepushe na hii dhahma wapate japo droo
Kabisa mkuu ..Ni kupoteza risosi au sio
Mbona ghafla mtani?Na mtachapika sana leo.jipeni matumaini na hako kagoli
Chezeiyaaa mashindano ya kikubwa..washazoea kuwajimbiza police tanzaniaWanazingua wameanza vizuri ila wamepoteana
Mliwasha hadi moto msimu uliopita, lakini wapi!Robo fainali kwenye mashindano ya loser's haina cha kujisifia!
ni kweli hayo?Yanga wanaiga pira asali hapa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ya wanaume wanaovaa nepi!!ya wanaume
Upo serious mkuu ?CAFCC
Mzee wa bwaksi macho yameshasinzia na bwaksi haoni kituni kweli hayo?
Sikumbuki ni mashindano gani ila ni haya mliyofanya hivi vitu Mwaka jana mkapigwa na faini juuView attachment 2542113
na nawashindaUto wapo pungufu?