FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Huyu Sidibe kampoteza kabisa Mudathir Yahya pale katikati. I wish Wananchi tungeongeza goli lingine. Ila mpaka muda huu, timu imepwaya sana kwenye kiungo cha kati.
 
Uwanja una shida nn? Mbona kama wanacheza kwenye sahani ya udongo yenye sabuni?
 
Back
Top Bottom