mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #281
Anacheza na timu inayoifunga raja nje ndani[emoji23][emoji23][emoji23]Anacheza na nani, kwenye mashindano gani ?
Pressure unayo weweHii mechi naona kila mtu anapresha hususani baada ya kupata bao nimeona Bamako wanafika sana eneo lenu
Usain Bolt ulikuwa wapi?Pressure unayo wewe
Pale angekuwa Mzize hakosiKile kichwa na lile shuti alilopaisha hadi Nabi ameinama akisikitika
Haijalishi, huwa nafurahi tu kuwaona yanga wakitesekaKozi ya ulozi ulisomea wapi?? [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umeruhusiwa kwa muda tu, ila ukarabati ulikuwa unaendeleaUwanja una shida nn? Mbona kama wanacheza kwenye sahani ya udongo yenye sabuni?
Nakataa kwa majina yote...Hii gem inaisha 1 1..... Mda utasema
Point 7 za mashindano ya losers ni sawa na point 2 za cafccKama timu yako paka muda huu haina point 7 kama za Yanga kaa kimya
Hata mimi nilifikia kufikiria hivyo, ila nikasema nikiandika wananchi hawatanielewaPale angekuwa Mzize hakosi
Pale Mayele ametufelisha kweli, lakini ndio hivyo ulivyo mpira wa miguu, ni ngumu kila nafasi iwe goli. Tunamsamehe na tunampa nafasi nyingine maana juhudi zake tunazionaKile kichwa na lile shuti alilopaisha hadi Nabi ameinama akisikitika
Wakati wa game hua concentration yangu ni matchUsain Bolt ulikuwa wapi?
Ooh, okUmeruhusiwa kwa muda tu, ila ukarabati ulikuwa unaendelea
Presha ipo speed 120 kama honda....Nakataa kwa majina yote...
Sasa mtani ndio unalipiza kisasi🤣🤣🤣🤣Fo shuaaaa vile..muda si mrf nalog off
Ila kuna watu kama Chukwu emeka huwa hatuachi na Bantu Lady yani wanatuombeaga mabaya laivu laivu...
Endelea kukocenrate sisi tupige ngengaaa 😄 😄 😄Wakati wa game hua concentration yangu ni match
Tunazungumza uhalisia, yanga kimataifa bado sanakweli mkuu ila kwa yanga hii maneno yanahusika