FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Dah hizi chance za Mayele, tulikuwa tunamaliza mechi kwa goli tatu. Hawa jamaa sio wanyonge, game walizocheza ni lazuma walenge goli. Hivyo wachezaji wawe makini sana
 
Nimeangalia mpira huu dstv hapa... Naona mpira hatujui kabisa
 
Hiyu mchambuzi wa ZBC2 atakuwa ni shabiki wa Kolo haiwezekani amponde Azizi Ki kuwa anapoteza mipira wakati dakika zote amekuwa msaada uwanjani na pasi zake zimefika kwa accurancy ya juu
 
Kile kichwa na lile shuti alilopaisha hadi Nabi ameinama akisikitika
Pale Mayele ametufelisha kweli, lakini ndio hivyo ulivyo mpira wa miguu, ni ngumu kila nafasi iwe goli. Tunamsamehe na tunampa nafasi nyingine maana juhudi zake tunaziona
 
Back
Top Bottom