FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Hii picha ya mwanamke wanayoonesha Yanga Kila wakishinda Ina maana gani?
Kuna mtu tunashindana hapa
 
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeje? Simba ikajifunze Kwa Yanga kutumia uwanja wa nyumbani
Miaka yote wakati Simba inautumia uwanja huo Yanga hata mashindano ya Losers walikuwa hawachezi. Unaikumbuka ile timu ya Wanaigeria walikupiga nje ndani?
 
Nyie si hamna iwezo wa kufunga magoli mengi ndio maana mnachezea mil 5,kila mechi.
Hivi kweli unaweza ukacheza kwa ahadi ya milioni 5? Hizi mechi unacheza huku unachungulia muda, sio za kuingia kichwa kichwa
 
Dak 80, As real Bamako wanapata kona ambayo haikuzaa matunda
 
Next stop ni Monastir

Kwa mkapa tena,

Twende kazi mwananchi
 

Attachments

  • Screenshot_20230308-204058.png
    48 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230308-204028.png
    48.5 KB · Views: 3
Tukipitia maktaba tunaweza kukuta Yanga waliwahi kuwa na jezi kama hizi za Bamako.
 
Nyie si hamna uwezo wa kufunga magoli mengi ndio maana mnachezea mil 5,kila mechi jana mshukuruni mshika kibendera kawanyima goli Vipers.
Mkuu achana na ahadi za kisiasa. Kama makocha wangekuwa wanaangalia ahadi hizo na kuweka utaalamu wao pembeni, basi ungeona Nabi amewaanzisha Mayele, Musonda, Mzize kwa mkupuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…