Unazungumzia supplementary exam au UE????Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haijafunga magoli 7 Caf group stage kaa [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Angekuwa ni mudadhir ile ilikuwa wayaaa,Ile angeichop kwa kimo cha chini kidogo tungewachapa goli
Sawa, ila ujue Simba ana magoli 55 kwenye NBCPL, Yanga ana 42Hizi ni motivation hata ulaya kuna kitu kinaitwa bonus kwa kila mechi watakayo shinda na kwa kila hatua timu itakayo piga kwenye mashindano.Nyie uwezo hamna wa kufunga magoli mengi.
Hadi Nabi kamaindiMayele ana kauchoyo
Ndio ukweli huo. Kundi bado hili...Mazembe anapita.Naiscreenshot hii reply,
anatafuta rekodiMayele ana kauchoyo
Weka rekodi za kutumia vyema uwanja wa nyumbani kati ya Simba na Yanga tuone nani anatakiwa akajifunze kwa mwenzakeNasemajeeeeeeeeeeeeeeje? Simba ikajifunze Kwa Yanga kutumia uwanja wa nyumbani
Msalimie huyo uliyemuweka kwenye profile yako.Kwani Madunduka FC mbona mmekimbia kimyakimya? Mlijazana hapa, mkijua tunadraw? Au kufungwa?
Mungu wa jana ndiyo Mungu wa leo.
Na hii naiscreenshot hii reply piaNdio ukweli huo. Kundi bado hili...Mazembe anapita.
Vilevile kumbuka Yanga anangoza kwa point...........(jaza mwenyewe hapo,kama ulijua idadi ya magoli weka na points)Sawa, ila ujue Simba ana magoli 55 kwenye NBCPL, Yanga ana 42
Pole kwa maumivu unayojiskia.Tofautisha kumfunga mtu kwao na kwenu
Hii rekodi bado hamjaifikia utoooo
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haina milion 30 za rais Samia kaa[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]Weka rekodi za kutumia vyema uwanja wa nyumbani kati ya Simba na Yanga tuone nani anatakiwa akajifunze kwa mwenzake