Zimefika, anakusalimu pia.Msalimie huyo uliyemuweka kwenye profile yako.
Labda ukambebe mgongoni umpitishe.Ndio ukweli huo. Kundi bado hili...Mazembe anapita.
Ingia uwasaidieHawa loser wanavyocheza unaweza sema wako serious kumbe fix tu
Ahsante 😘😘Zimefika, anakusalimu pia.
Ni kwa sababu haina shobo na hela za wanawake...wenye shobo na hela za wanawake ndio maana mmepangiwa mechi tarehe ya wanawakeNasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haina milion 30 za rais Samia kaa[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Yanga wako serious Mzee. Hebu ona pressing yao dak zote za mchezoHawa loser wanavyocheza unaweza sema wako serious kumbe fix tu
Matarajio yameenda kombo. [emoji38]Hawa loser wanavyocheza unaweza sema wako serious kumbe fix tu
Endeleeni kutembeza bakuli hahaaaNasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haina milion 30 za rais Samia kaa[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Si ulikuwa unazungumzia magoli wewe, sasa mbona umehamia kwenye point? 🤣 🤣🤣Vilevile kumbuka Yanga anangoza kwa point...........(jaza mwenyewe hapo,kama ulijua idadi ya magoli weka na points)
Uto ikijitahidi itamaliza kundi na points 8. Mazembe ana 9 za uhakika.Labda ukambebe mgongoni umpitishe.
Wanataka kutuaminisha kuwa sio losersYanga wako serious Mzee. Hebu ona pressing yao dak zote za mchezo
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?? Kama timu yako imeshawahi kufungwa na mayeleeeeee kaa[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]Endeleeni kutembeza bakuli hahaaa
Naona mnazidi kupandisha dau,tunaenda kumfunga TP Mazembe kwao,sawaBado hamjavunja huu mwiko muifunge timu moja ndani nyumbani na kwao....