FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Hapa mimi ndio panaponipa mawazoo na ndio maana narudi kufikir kuwa htukupaswa kuruhusu draw na bamako game ilee...Mazembe watatuua hakyanani..tena kwao??? Aahh sina matumain kabisaa
Leo wamemsumbua monasir ila tutawafunga hawana mpira msimu huu.
 
Nimefikiria tu huyu mchambuzi kama kaweza kumsema hivi Azizi Ki tena akiwa live...vipi akiwa peke yake au sehemu ambayo hakuna Camera hali itakuwaje?
Atamchambua mpaka kigimbi chake
 
Nasikia golikipa wa Bamaco ni kaka yake na jujui jiara wa Uto hivyo kauza game...
😆 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…