mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
- #641
Yaani wamepigwa Bamako ila wanaoumia ni Simba. Hii inchi hii[emoji119][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mikimbio tu hadi kitakwimu yupo vizuri..Ila anamikimbio mizuri
Leo wamemsumbua monasir ila tutawafunga hawana mpira msimu huu.Hapa mimi ndio panaponipa mawazoo na ndio maana narudi kufikir kuwa htukupaswa kuruhusu draw na bamako game ilee...Mazembe watatuua hakyanani..tena kwao??? Aahh sina matumain kabisaa
Nabi aione hiitukitaka matokeo mazuri mapema kabisa moloko na aucho waanze.
AahjahahhaYaani wamepigwa Bamako ila wanaoumia ni Simba. Hii inchi hii[emoji119][emoji119]
Ushapata uhakika kuwa TP Mazembe anashinda kule Mali?Hapa mimi ndio panaponipa mawazoo na ndio maana narudi kufikir kuwa htukupaswa kuruhusu draw na bamako game ilee...Mazembe watatuua hakyanani..tena kwao??? Aahh sina matumain kabisaa
Sijui na yeye anapitaga jf anasoma maoni yetu kama mama SSHNabi aione hii
Na huyo tukishampiga ndo na kelele zitaisha hapa mjini na heshima itakuwepoNgoja yule aliyetupiga kwao aje tumnyoe
Atamchambua mpaka kigimbi chakeNimefikiria tu huyu mchambuzi kama kaweza kumsema hivi Azizi Ki tena akiwa live...vipi akiwa peke yake au sehemu ambayo hakuna Camera hali itakuwaje?
Aahjaaaaa,tuombe iwe hivyo mkuuSijui na yeye anapitaga jf anasoma maoni yetu kama mama SSH
Za kupoteza pasi au?Sio mikimbio tu hadi kitakwimu yupo vizuri..
Raja anakusalimiaBado hamjavunja huu mwiko muifunge timu moja ndani nyumbani na kwao....
Kwa real bamako hii mkuu mbona iko waz japo sina uhakika..ila odds ziko wazUshapata uhakika kuwa TP Mazembe anashinda kule Mali?
Huyo atatupiga tuu hilo halina ubishiRaja anakusalimia
Kakuandalia halua na tende
Points ni za muhimu kwanza. Hapa mkitoa droo na Monastir mmekwisha, maana Mazembe amebakiza wachovu wake, atafikisha point tisa kimasiharaLeo tulitakiwa tushinde nne ila sio mbaya.
Huna jipya na mchezo wa jana kama wa chekecheaPoint 7 za mashindano ya losers ni sawa na point 2 za cafcc
Atamdunda huko huko, maana Real Bamako ameshakata tamaa kwani hawezi kufika popoteUshapata uhakika kuwa TP Mazembe anashinda kule Mali?