Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Itakua hvyo aminiAahjaaaaa,tuombe iwe hivyo mkuu
kwa kweli huyu ni mzee wa likes, amezimwaga kama zote πKilimbatzz huna baya unamwaga tuu likes mkuu
Likes zenyewe za bure,za nini niwanyime mkuu,tumezikuta humu tutaziacha humuhumuKilimbatzz huna baya unamwaga tuu likes mkuu
Mnajipa moyo mimi biashara naimalizia hapa kwa Mkapa utajua mwenyewe na Horoya, mechi yenu fainali hiyo,Horoya kwako hapa atakuja kutafuta droo, shughuli anaenda imalizia kwake.Points ni za muhimu kwanza. Hapa mkitoa droo na Monastir mmekwisha, maana Mazembe amebakiza wachovu wake, atafikisha point tisa kimasihara
Ahahhahah,kwa kweli huyu ni mzee wa likes, amezimwaga kama zote π
Umenichekesha sana mkuu sanaaa eti tutaziacha humuhumu.... π π πLikes zenyewe za bure,za nini niwanyime mkuu,tumezikuta humu tutaziacha humuhumu
Ahaahaah
Haya.Points ni za muhimu kwanza. Hapa mkitoa droo na Monastir mmekwisha, maana Mazembe amebakiza wachovu wake, atafikisha point tisa kimasihara
Mkuu wala hatuumii maana mapigano yapo tofauti. Sema tungenyong'onyea kama tungekuwa tumepoteza matumainiYaani wamepigwa Bamako ila wanaoumia ni Simba. Hii inchi hii[emoji119][emoji119]
Mwananlunyasi punguza gereDuh nimeangalia group table ya Yanga, kumbe hili group linaenda hadi dakika ya mwisho aisee π€£ππ€£
Sasa yule msemaji wao alikuwa anaongea uharo gani juzi?
Bado hujaenda kununua diclopa za kutuliza maumivu? Shauri Yako ukute duka la dawa limefungwaSasa kesho mi redio na michambuzi yake ni kusifia tuuu mwanzo mwisho hata penye uongo yani inaboaaa
Acheni tuenjoy maisha ya humu hata Kwa dakika mkuu,huko nje ni full stressUmenichekesha sana mkuu sanaaa eti tutaziacha humuhumu.... π π π
Kumbe ww mwarabu feki na mganda og ni uto lilialia π πBado hujaenda kununua diclopa za kutuliza maumivu? Shauri Yako ukute duka la dawa limefungwa
Mazembe atajipigia uto na real bamako, points 9, ushindi wa uto kwa Monastir ni sare sio kama hawa vilaza makosa kibao.
Robot hizo mzee..Kilimbatzz huna baya unamwaga tuu likes mkuu
Sure..yani mi humu huwa naenjoy tuu kupanikishana basi ila baada ya hapo peace na upendo...Acheni tuenjoy maisha ya humu hata Kwa dakika mkuu,huko nje ni full stress
Kama vilaza Vipers au sio?Mazembe atajipigia uto na real bamako, points 9, ushindi wa uto kwa Monastir ni sare sio kama hawa vilaza makosa kibao.
Wote si ni wale wale ndio maana CAF wakaona wapange mechi tarehe ya leo? [emoji16]