FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Duh nimeangalia group table ya Yanga, kumbe hili group linaenda hadi dakika ya mwisho aisee 🤣😂🤣

Sasa yule msemaji wao alikuwa anaongea uharo gani juzi?

Masahihisho: Yanga kufeni na ndugu zake Nabi ila msituulie tu ndugu zetu katika kutafuta huo ushindi maana.....
 
Points ni za muhimu kwanza. Hapa mkitoa droo na Monastir mmekwisha, maana Mazembe amebakiza wachovu wake, atafikisha point tisa kimasihara
Mnajipa moyo mimi biashara naimalizia hapa kwa Mkapa utajua mwenyewe na Horoya, mechi yenu fainali hiyo,Horoya kwako hapa atakuja kutafuta droo, shughuli anaenda imalizia kwake.
 
Mazembe atajipigia uto na real bamako, points 9, ushindi wa uto kwa Monastir ni sare sio kama hawa vilaza makosa kibao.

Hata kwa Mazembe first game mlisema Uto anakufa,,,,
Chunguni ndimi nzenu football sio netball
 
Back
Top Bottom