FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Msije mkawamwagia tena maji ya maiti, CAF wanapenda sana bifu za namna hii. Safari ijayo mnapangiwa timu zote za huko ili muende mara 3.
Simba ndio munatabia za kishirikina.
Ni hapa juzi tu mulirudi kinyume nyume na mukachezea kichapo.
Week ijayo mwarabu anapigwa kama ngoma ya mkinda.
 
Gongawazi fainal yao ni vs Us Monstair March 19
Wakishinda wanaenda Robo fainal

Madunduka fainal yao ni vs Horoya March 18 Wakishinda wanaenda Robo fainal

Kwa maana iyo kurwa na doto wapo mguu pande mguu mmoja sawa
Mazembe akimfunga Bamako na Yanga anaenda robo.
 
Mechi inayofuata Yanga inacheza nyumbani dhidi ya Monastir, Yanga akishinda hiyo mechi basi kamaliza kazi hata mechi yake ya mwisho akifungwa magoli 20. Saaa sijui unaposema linaenda hadi mwisho ulikuwa unawaza yapi?
 
Mechi inayofuata Yanga inacheza nyumbani dhidi ya Monastir, Yanga akishinda hiyo mechi basi kamaliza kazi hata mechi yake ya mwisho akifungwa magoli 20. Saaa sijui unaposema linaenda hadi mwisho ulikuwa unawaza yapi?
Soma mpaka mwisho hiyo post uliyoninukuhu. Nilisoma table kabla hawajamaliza kuiupdate kwa hiyo kuna namba hazikuwa zimekaa sawa.

Mna bahati Monastir anakuja huku ameshapita kwa hiyo hatakuja na moto sana. Mnahitaji ushindi maana kule Congo lolote linaweza kutokea.
 
Naona hili kombe lisipoenda uarabuni basi litakuja Tanzania. Yanga itatuheshimisha safari hii
Ushindani wenu na Simba mnawafanya muwazie mbali mapema. Siyo mbaya kulenga pakubwa lakini. Simba wenyewe malengo safari hii ni nusu fainali, yaani hatua moja mbele ya inapogotaga. Sasa nyie mnawaza kuchukua ubingwa, hayaa kila mtu na malengo yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…