Muache mtu aseme ukweliUmepigwa wapi?
Hamna kitu pale na tena bora saizi hata Kisinda unaweza ukategemea chochote kwenye mbio zake.Aziz Kindamba ndiye huyu tuliyemnunua Milioni 400??
Acha chuki huyo unae mchukia ndio alituvusha hatua hi kule Tunisia dhid ya club Africa caineHamna kitu pale na tena bora saizi hata Kisinda unaweza ukategemea chochote kwenye mbio zake.
Ila huyu mwamba kiukweli ni gunia lisilokuwa na mbuzi
Iwavyo tp tupate ushindiHawezi kwenda robo Mazembe hata akishinda hizo mechi mbili endapo tu Yanga itamfunga Monastir.
Una tabia za Kiswahili typical ! kuongea watuNa huyu Azizi Ki sijui ulimkopa maana hutaki aguswe kabisa
Serious una mambo ya kikeHamna kitu pale na tena bora saizi hata Kisinda unaweza ukategemea chochote kwenye mbio zake.
Ila huyu mwamba kiukweli ni gunia lisilokuwa na mbuzi
Alikuwa bora siku ile ila haizuuii kusema ubovu wake wa siku hiziAcha chuki huyo unae mchukia ndio alituvusha hatua hi kule Tunisia dhid ya club Africa caine
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sasa unawezaje kuweka mjadala wa vitu vinavyofanywa na watu bila kuongelea watu na uka make sense?Una tabia za Kiswahili typical ! kuongea watu
Hilo linakuja akiongelewa Azizi KiSerious una mambo ya kike
Ifike time ubadilike wewe kila siku ni kujadili watu, ulianza na Mayele ukaja Azizi K sasa hivi upo na Musonda kwani huwezi kuongea football bila kukoma na watu , basi mseme mtu mara moja sio uzi mzima unakomaa hizo ni indications una tabia za hivyo hata kwenye real lifeHilo linakuja akiongelewa Azizi Ki
Ila wewe ukimsema Kibu, unakuwa mtu fulani makini unayeujua mpira
Aisee
ZuwenaYanga 4-1 Real Bamako nimekaa paleeeee nasubiri kuitwa zuwena
Ndo mpaka ashinde sasa. Na ni game ngumu sanaa..Mechi inayofuata Yanga inacheza nyumbani dhidi ya Monastir, Yanga akishinda hiyo mechi basi kamaliza kazi hata mechi yake ya mwisho akifungwa magoli 20. Saaa sijui unaposema linaenda hadi mwisho ulikuwa unawaza yapi?
Yanga iko nyumbani, Waarabu wanafia kwa Mkapa.Ndo mpaka ashinde sasa. Na ni game ngumu sanaa..
Hata akitoa sare zote mbili atapita ila akishinda itapendeza zaidiNdo mpaka ashinde sasa. Na ni game ngumu sanaa..
Mwarabu hatoki kwa Mkapa, tunataka mechi ya mwisho na TP Mazembe iwe ni ya kukamilisha ratiba tu.Hata akitoa sare zote mbili atapita ila akishinda itapendeza zaidi
Naona hili kombe lisipoenda uarabuni basi litakuja Tanzania. Yanga itatuheshimisha safari hii
Ndo mpaka ashinde sasa. Na ni game ngumu sanaa..