fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
acha uongo marehemu gulamali ni mhindi sio mwarabuWaarabu tuna undugu wa damudamu na Yanga, kuanzia abasi gulamali, abasi tarimba hadi gsm wote ni warabu, kwaio Yanga piga hao mbwakoko wa mali goli ambazo raja Casablanca tulimpiga simba
ni kweli mayele alizidi ubinafsiChonde chonde , wakae na Mayele, wamshauri, wapinzani Sasa wanaojua stail yake ya uchezaji. Asilazimishe afunge yeye tu ili ateteme, atumie nafasi za mwanzo kutoa assist baada ya timu kushindwa angalau goli 3 , basi aanze kulazimisha kufunga. Pamoja na kuwa anafunga magoli ila anapotezea nafasi nyingi Sana za wazi ambapo Kuna mtu yupo kwenye nafasi nzuri zaidi na anamwona lakini hampi mpira ,analazimisha kupiga Mpira ama unakuwa blocked au unatoka nje.
Wachezaji wamwelewe Ki Aziz kuwa anatoa pasi za haraka na mpenyezo ,ukimpa pasi wahi mbele sio kuzubaa
Halafu anajikuta anajua kila kitu kumbe hanangwa tu[emoji1]Ifike time ubadilike wewe kila siku ni kujadili watu, ulianza na Mayele ukaja Azizi K sasa hivi upo na Musonda kwani huwezi kuongea football bila kukoma na watu , basi mseme mtu mara moja sio uzi mzima unakomaa hizo ni indications una tabia za hivyo hata kwenye real life
Hao wote uliowataja, Kocha wako kawasema negative kwa hiyo naye ni hater?Ifike time ubadilike wewe kila siku ni kujadili watu, ulianza na Mayele ukaja Azizi K sasa hivi upo na Musonda kwani huwezi kuongea football bila kukoma na watu , basi mseme mtu mara moja sio uzi mzima unakomaa hizo ni indications una tabia za hivyo hata kwenye real life
Ntawaandalia mpambano maana utani wenu wa jadi umevuka mipakaHao wote uliowataja, Kocha wako kawasema negative kwa hiyo naye ni hater?
Siko kwa ajili ya battle na mtu ila nashangazwa na baadhi ya wadau wanapokuwa huru kumsema mchezaji wa timu nyingine bila kupewa maneno ya kashfaNtawaandalia mpambano maana utani wenu wa jadi umevuka mipaka
Monastir hawezi ku relax kwasababu ukiachana na kufuzu, ni lazima ukomae uongoze kundi ili usipangiwe na timu zingine zilizoongoza kwenye makudi yao. Kwasababu droo ya robo fainali itachukua timu zilizoshika nafasi ya kwanza vs timu zilizoshika nsfasi ya pili kwenye kundi. Bado Monastir hajawa na uhakika wa kuongoza kundi hivyo atapambanaSoma mpaka mwisho hiyo post uliyoninukuhu. Nilisoma table kabla hawajamaliza kuiupdate kwa hiyo kuna namba hazikuwa zimekaa sawa.
Mna bahati Monastir anakuja huku ameshapita kwa hiyo hatakuja na moto sana. Mnahitaji ushindi maana kule Congo lolote linaweza kutokea.
Hakuna cha ku relax anakuja full mziki, tukimpiga zaidi ya goli mbili anakua wa pili kwenye kundi nani anataka kuwa wa pili?Soma mpaka mwisho hiyo post uliyoninukuhu. Nilisoma table kabla hawajamaliza kuiupdate kwa hiyo kuna namba hazikuwa zimekaa sawa.
Mna bahati Monastir anakuja huku ameshapita kwa hiyo hatakuja na moto sana. Mnahitaji ushindi maana kule Congo lolote linaweza kutokea.
Wewe ni hater unajifichia kwenye ushabiki kipindi kile Mayele hata afanye nini utaongea tu naona Musonda kama ameku prove wrong sasa hivi umekomaa na Azizi KSiko kwa ajili ya battle na mtu ila nashangazwa na baadhi ya wadau wanapokuwa huru kumsema mchezaji wa timu nyingine bila kupewa maneno ya kashfa
Halafu na sisi tukiwasema wachezaji wao negative (tena kwa yale ambayo ni ya kweli) wanakasirika na kuanza kutoa maneno mabaya kwa wengine.
Sasa tulichokuwa tunakisema sisi kuhusu low performance ya Azizi Ki na kuitwa hater, kimesemwa na Nabi ambaye ni kocha mkuu...sasa huyo mdau nataka nimuone akijitokeza kumpinga Nabi na kumuita hater vinginevyo yeye ndio hater na juha mwenye mahaba na mchezaji.
Wengine wamejaribu kusema kumtetea Azizi Ki eti kwakua alifunga bao kule Tunis, kwa maana hiyo Nabi anapoonesha kutopendezwa na kiwango cha Azizi Ki hilo hakuliona au wao wana vision kubwa ya mpira kumzidi kocha.
Au hata mashabiki wa Simba hawapaswi kumsema Kibu kwasababu alisababisha tupate goli muhimu kwenye mechi ya Mbeya City.
Ni ujinga tu
Na wewe ni snitch, hata Mayele na Azizi Ki wacheze hovyo hujawahi funguka kuwa wako underperformanceWewe ni hater unajifichia kwenye ushabiki kipindi kile Mayele hata afanye nini utaongea tu naona Musonda kama ameku prove wrong sasa hivi umekomaa na Azizi K
Kwenye siku yenu Vipers waliwafanyeje? Usijifanye kuwa haukumbuki!!Weka hapa CV za Bamako FC na Vipers mechi 7 kabla hawajacheza na Makolokolo na Yanga tuone kama kweli wewe si Mbumbumbu [emoji28]
Kwani kwenye siku yenu TP mazembe waliwafanyeje?Kwenye siku yenu Vipers waliwafanyeje? Usijifanye kuwa haukumbuki!!
Lini nmetoa negative comments kwa Mchezaji yoyote wa umbumbumbuni?Na wewe ni snitch, hata Mayele na Azizi Ki wacheze hovyo hujawahi funguka kuwa wako underperformance
Na Kibu sidhani kama hana mazuri yake, ila hujawahi kutoa positive recognition zaidi ya misuto
Kama Mazembe walivyo wafanya kwenye siku yenuKwenye siku yenu Vipers waliwafanyeje? Usijifanye kuwa haukumbuki!!
Mara kibao tu ushafanya hivyoLini nmetoa negative comments kwa Mchezaji yoyote wa umbumbumbuni?
Hawa ni mashabiki mandazi. Wanadhani kukiri madhaifu ya wachezaji wao hata kama ni katika game husika ni kuisaliti timu. Jana Nabi bado kidogo avunje benchi kama siyo vidole vyake kwa hasira.Siko kwa ajili ya battle na mtu ila nashangazwa na baadhi ya wadau wanapokuwa huru kumsema mchezaji wa timu nyingine bila kupewa maneno ya kashfa
Halafu na sisi tukiwasema wachezaji wao negative (tena kwa yale ambayo ni ya kweli) wanakasirika na kuanza kutoa maneno mabaya kwa wengine.
Sasa tulichokuwa tunakisema sisi kuhusu low performance ya Azizi Ki na kuitwa hater, kimesemwa na Nabi ambaye ni kocha mkuu...sasa huyo mdau nataka nimuone akijitokeza kumpinga Nabi na kumuita hater vinginevyo yeye ndio hater na juha mwenye mahaba na mchezaji.
Wengine wamejaribu kusema kumtetea Azizi Ki eti kwakua alifunga bao kule Tunis, kwa maana hiyo Nabi anapoonesha kutopendezwa na kiwango cha Azizi Ki hilo hakuliona au wao wana vision kubwa ya mpira kumzidi kocha.
Au hata mashabiki wa Simba hawapaswi kumsema Kibu kwasababu alisababisha tupate goli muhimu kwenye mechi ya Mbeya City.
Ni ujinga tu
Hata kwenye 1st leg kule Mali, Nabi alikuwa akimuwakia sana Azizi KiHawa ni mashabiki mandazi. Wanadhani kukiri madhaifu ya wachezaji wao hata kama ni katika game husika ni kuisaliti timu. Jana Nabi bado kidogo avunje benchi kama siyo vidole vyake kwa hasira.
Sawa lakini game yake ya mwisho anacheza na Bamako tena nyumbani kwa hiyo bado anaweza asikaze sana ingawa bado atakuwa anatafuta ushindi. Haya nendeni mkashinde.Hakuna cha ku relax anakuja full mziki, tukimpiga zaidi ya goli mbili anakua wa pili kwenye kundi nani anataka kuwa wa pili?
Sawa, nendeni mkapambane. Mimi ninachowaomba msifanye vurugu tu mkatishia uwanja wetu kufungwa au kuharibu taswira ya mpira wetu. Mechi kama hizi zinakuwaga na hisia sana.Monastir hawezi ku relax kwasababu ukiachana na kufuzu, ni lazima ukomae uongoze kundi ili usipangiwe na timu zingine zilizoongoza kwenye makudi yao. Kwasababu droo ya robo fainali itachukua timu zilizoshika nafasi ya kwanza vs timu zilizoshika nsfasi ya pili kwenye kundi. Bado Monastir hajawa na uhakika wa kuongoza kundi hivyo atapambana