FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Waarabu tuna undugu wa damudamu na Yanga, kuanzia abasi gulamali, abasi tarimba hadi gsm wote ni warabu, kwaio Yanga piga hao mbwakoko wa mali goli ambazo raja Casablanca tulimpiga simba
acha uongo marehemu gulamali ni mhindi sio mwarabu
 
Chonde chonde , wakae na Mayele, wamshauri, wapinzani Sasa wanaojua stail yake ya uchezaji. Asilazimishe afunge yeye tu ili ateteme, atumie nafasi za mwanzo kutoa assist baada ya timu kushindwa angalau goli 3 , basi aanze kulazimisha kufunga. Pamoja na kuwa anafunga magoli ila anapotezea nafasi nyingi Sana za wazi ambapo Kuna mtu yupo kwenye nafasi nzuri zaidi na anamwona lakini hampi mpira ,analazimisha kupiga Mpira ama unakuwa blocked au unatoka nje.

Wachezaji wamwelewe Ki Aziz kuwa anatoa pasi za haraka na mpenyezo ,ukimpa pasi wahi mbele sio kuzubaa
ni kweli mayele alizidi ubinafsi
 
Ifike time ubadilike wewe kila siku ni kujadili watu, ulianza na Mayele ukaja Azizi K sasa hivi upo na Musonda kwani huwezi kuongea football bila kukoma na watu , basi mseme mtu mara moja sio uzi mzima unakomaa hizo ni indications una tabia za hivyo hata kwenye real life
Halafu anajikuta anajua kila kitu kumbe hanangwa tu[emoji1]

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Ifike time ubadilike wewe kila siku ni kujadili watu, ulianza na Mayele ukaja Azizi K sasa hivi upo na Musonda kwani huwezi kuongea football bila kukoma na watu , basi mseme mtu mara moja sio uzi mzima unakomaa hizo ni indications una tabia za hivyo hata kwenye real life
Hao wote uliowataja, Kocha wako kawasema negative kwa hiyo naye ni hater?
 
Ntawaandalia mpambano maana utani wenu wa jadi umevuka mipaka
Siko kwa ajili ya battle na mtu ila nashangazwa na baadhi ya wadau wanapokuwa huru kumsema mchezaji wa timu nyingine bila kupewa maneno ya kashfa

Halafu na sisi tukiwasema wachezaji wao negative (tena kwa yale ambayo ni ya kweli) wanakasirika na kuanza kutoa maneno mabaya kwa wengine.

Sasa tulichokuwa tunakisema sisi kuhusu low performance ya Azizi Ki na kuitwa hater, kimesemwa na Nabi ambaye ni kocha mkuu...sasa huyo mdau nataka nimuone akijitokeza kumpinga Nabi na kumuita hater vinginevyo yeye ndio hater na juha mwenye mahaba na mchezaji.

Wengine wamejaribu kusema kumtetea Azizi Ki eti kwakua alifunga bao kule Tunis, kwa maana hiyo Nabi anapoonesha kutopendezwa na kiwango cha Azizi Ki hilo hakuliona au wao wana vision kubwa ya mpira kumzidi kocha.

Au hata mashabiki wa Simba hawapaswi kumsema Kibu kwasababu alisababisha tupate goli muhimu kwenye mechi ya Mbeya City.

Ni ujinga tu
 
Soma mpaka mwisho hiyo post uliyoninukuhu. Nilisoma table kabla hawajamaliza kuiupdate kwa hiyo kuna namba hazikuwa zimekaa sawa.

Mna bahati Monastir anakuja huku ameshapita kwa hiyo hatakuja na moto sana. Mnahitaji ushindi maana kule Congo lolote linaweza kutokea.
Monastir hawezi ku relax kwasababu ukiachana na kufuzu, ni lazima ukomae uongoze kundi ili usipangiwe na timu zingine zilizoongoza kwenye makudi yao. Kwasababu droo ya robo fainali itachukua timu zilizoshika nafasi ya kwanza vs timu zilizoshika nsfasi ya pili kwenye kundi. Bado Monastir hajawa na uhakika wa kuongoza kundi hivyo atapambana
 
Hakuna cha ku relax anakuja full mziki, tukimpiga zaidi ya goli mbili anakua wa pili kwenye kundi nani anataka kuwa wa pili?
 
Siko kwa ajili ya battle na mtu ila nashangazwa na baadhi ya wadau wanapokuwa huru kumsema mchezaji wa timu nyingine bila kupewa maneno ya kashfa

Halafu na sisi tukiwasema wachezaji wao negative (tena kwa yale ambayo ni ya kweli) wanakasirika na kuanza kutoa maneno mabaya kwa wengine.

Sasa tulichokuwa tunakisema sisi kuhusu low performance ya Azizi Ki na kuitwa hater, kimesemwa na Nabi ambaye ni kocha mkuu...sasa huyo mdau nataka nimuone akijitokeza kumpinga Nabi na kumuita hater vinginevyo yeye ndio hater na juha mwenye mahaba na mchezaji.

Wengine wamejaribu kusema kumtetea Azizi Ki eti kwakua alifunga bao kule Tunis, kwa maana hiyo Nabi anapoonesha kutopendezwa na kiwango cha Azizi Ki hilo hakuliona au wao wana vision kubwa ya mpira kumzidi kocha.

Au hata mashabiki wa Simba hawapaswi kumsema Kibu kwasababu alisababisha tupate goli muhimu kwenye mechi ya Mbeya City.

Ni ujinga tu
Wewe ni hater unajifichia kwenye ushabiki kipindi kile Mayele hata afanye nini utaongea tu naona Musonda kama ameku prove wrong sasa hivi umekomaa na Azizi K
 
Na wewe ni snitch, hata Mayele na Azizi Ki wacheze hovyo hujawahi funguka kuwa wako underperformance

Na Kibu sidhani kama hana mazuri yake, ila hujawahi kutoa positive recognition zaidi ya misuto
 
Lini nmetoa negative comments kwa Mchezaji yoyote wa umbumbumbuni?
 
Siko kwa ajili ya battle na mtu ila nashangazwa na baadhi ya wadau wanapokuwa huru kumsema mchezaji wa timu nyingine bila kupewa maneno ya kashfa

Halafu na sisi tukiwasema wachezaji wao negative (tena kwa yale ambayo ni ya kweli) wanakasirika na kuanza kutoa maneno mabaya kwa wengine.

Sasa tulichokuwa tunakisema sisi kuhusu low performance ya Azizi Ki na kuitwa hater, kimesemwa na Nabi ambaye ni kocha mkuu...sasa huyo mdau nataka nimuone akijitokeza kumpinga Nabi na kumuita hater vinginevyo yeye ndio hater na juha mwenye mahaba na mchezaji.

Wengine wamejaribu kusema kumtetea Azizi Ki eti kwakua alifunga bao kule Tunis, kwa maana hiyo Nabi anapoonesha kutopendezwa na kiwango cha Azizi Ki hilo hakuliona au wao wana vision kubwa ya mpira kumzidi kocha.

Au hata mashabiki wa Simba hawapaswi kumsema Kibu kwasababu alisababisha tupate goli muhimu kwenye mechi ya Mbeya City.

Ni ujinga tu
Hawa ni mashabiki mandazi. Wanadhani kukiri madhaifu ya wachezaji wao hata kama ni katika game husika ni kuisaliti timu. Jana Nabi bado kidogo avunje benchi kama siyo vidole vyake kwa hasira.
 
Hata kwenye 1st leg kule Mali, Nabi alikuwa akimuwakia sana Azizi Ki
 
Hakuna cha ku relax anakuja full mziki, tukimpiga zaidi ya goli mbili anakua wa pili kwenye kundi nani anataka kuwa wa pili?
Sawa lakini game yake ya mwisho anacheza na Bamako tena nyumbani kwa hiyo bado anaweza asikaze sana ingawa bado atakuwa anatafuta ushindi. Haya nendeni mkashinde.
 
Monastir hawezi ku relax kwasababu ukiachana na kufuzu, ni lazima ukomae uongoze kundi ili usipangiwe na timu zingine zilizoongoza kwenye makudi yao. Kwasababu droo ya robo fainali itachukua timu zilizoshika nafasi ya kwanza vs timu zilizoshika nsfasi ya pili kwenye kundi. Bado Monastir hajawa na uhakika wa kuongoza kundi hivyo atapambana
Sawa, nendeni mkapambane. Mimi ninachowaomba msifanye vurugu tu mkatishia uwanja wetu kufungwa au kuharibu taswira ya mpira wetu. Mechi kama hizi zinakuwaga na hisia sana.
 
Back
Top Bottom