ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Anatolewa Ronaldo iwe Aziz K?Hee Azizi milionea mnatoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatolewa Ronaldo iwe Aziz K?Hee Azizi milionea mnatoa?
Acha kabisa, haya mambo ni kupokezana... leo sina hali hapa.Presha ipo speed 120 kama honda....
Ila ndo utulie na ww leo jana ulitustretishaaa
Kuna mchambuzi hapa anamsema Azizi Ki kuhusu kupoteza mipiraWakati wa game hua concentration yangu ni match
Ila ni kweli...ila tukitoka humu mtapoa bana wacha uzi utembeee...sio kwa ubaya ila😄😄😄😆Sasa mtani ndio unalipiza kisasi🤣🤣🤣🤣
Visasi ni vya shetani.
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haina pwointi 7 kaa kimya[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]Point 7 za mashindano ya losers ni sawa na point 2 za cafcc
Hivi si ukasaidie hata watoto homework jamani!!!Kashika kende, hali mbaya
Nimepata tabu sana jana usiku, kila nikikutag wapiii kuna uzi fulani hivi. Kumbe niko nje ya muda 😂😂😂😂😂😂 ndiyo nakuona hapa.Sasa mtani ndio unalipiza kisasi🤣🤣🤣🤣
Visasi ni vya shetani.
Naona shemela huko anakucheki tuuu kwa mbaliii sisi yetu tulimaliza jana...Acha kabisa, haya mambo ni kupokezana... leo sina hali hapa.
Haya hongereniAnacheza na timu inayoifunga raja nje ndani[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣Sio kwa ubaya huku moyoni unayotuombea hata shetani anaogopa!!!Ila ni kweli...ila tukitoka humu mtapoa bana wacha uzi utembeee...sio kwa ubaya ila😄😄😄😆
Goli la Azizi K alilowapiga Makolokolo bado limeng'ang'ania ujauzito kwako hadi ujifungue ndipo akili zitakurudia.Sio leo tu, ndo kiwango chake unless acheze na Transit camp au malimao fc
Kichwa kama ubuyu🤣🤣🤣🤣Nadhani haitakua mbaya mtatoka tuu droo
Tulieni dawa ndo inaingia taratibu, mlichonga sana janaDah hizi chance za Mayele, tulikuwa tunamaliza mechi kwa goli tatu. Hawa jamaa sio wanyonge, game walizocheza ni lazuma walenge goli. Hivyo wachezaji wawe makini sana
weka ushahidi! Bamako haiko kabisa kwenye ramani ya soka la afrika!!Anacheza na timu inayoifunga raja nje ndani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ana kazi ya kunitext kila dakika. Mara Bamako wanapoteana mbele, wangekuwa wameshasawazisha. Namuuliza kumbe unataka tufungwe? 😅😅😅😅Naona shemela huko anakucheki tuuu kwa mbaliii sisi yetu tulimaliza jana...
Nadhani haitakua mbaya mtatoka tuu droo
Ooooh jamani, nimebatizwaa!🤣🤣🤣Nimepata tabu sana jana usiku, kila nikikutag wapiii kuna uzi fulani hivi. Kumbe niko nje ya muda 😂😂😂😂😂😂 ndiyo nakuona hapa.
Yani huu utani bana mnaweza nuniana...ila stay cool...jana na ww ulikua hivi hivi 😆Ana kazi ya kunitext kila dakika. Mara Bamako wanapoteana mbele, wangekuwa wameshasawazisha. Namuuliza kumbe unataka tufungwe? 😅😅😅😅
Kumbe naye kaliona hilo. Mimi nimechagua kunyamaza leo.Hiyu mchambuzi wa ZBC2 atakuwa ni shabiki wa Kolo haiwezekani amponde Azizi Ki kuwa anapoteza mipira wakati dakika zote amekuwa msaada uwanjani na pasi zake zimefika kwa accurancy ya juu