FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Point 7 za mashindano ya losers ni sawa na point 2 za cafcc
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haina pwointi 7 kaa kimya[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Dah hizi chance za Mayele, tulikuwa tunamaliza mechi kwa goli tatu. Hawa jamaa sio wanyonge, game walizocheza ni lazuma walenge goli. Hivyo wachezaji wawe makini sana
Tulieni dawa ndo inaingia taratibu, mlichonga sana jana
 
Naona shemela huko anakucheki tuuu kwa mbaliii sisi yetu tulimaliza jana...
Nadhani haitakua mbaya mtatoka tuu droo
Ana kazi ya kunitext kila dakika. Mara Bamako wanapoteana mbele, wangekuwa wameshasawazisha. Namuuliza kumbe unataka tufungwe? 😅😅😅😅
 
SIamini watu wanataka Azizi mdomo atoke...si ndo huyu walisema mchezaji hatari...
 
Hiyu mchambuzi wa ZBC2 atakuwa ni shabiki wa Kolo haiwezekani amponde Azizi Ki kuwa anapoteza mipira wakati dakika zote amekuwa msaada uwanjani na pasi zake zimefika kwa accurancy ya juu
Kumbe naye kaliona hilo. Mimi nimechagua kunyamaza leo.
 
Back
Top Bottom