FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Geita ya minziro haiwez shinda dhidi ya yanga.
Ni sawa yanga akutane na singida .
Hii ni zuga tu subir kipind Cha pili uone magoli ya ajab ajab yakipatikana Kwa uto
Simba yako inaweza? Maana tangu makocha wawili nyuma, hujatoboa kwa Yanga. Ulikuwa unafungwa magoli ya ajabu? Kipi kilikushinda wewe ukataka wenzako waweze?
 
Geita ya minziro haiwez shinda dhidi ya yanga.
Ni sawa yanga akutane na singida .
Hii ni zuga tu subir kipind Cha pili uone magoli ya ajab ajab yakipatikana Kwa uto
Aisee, ni kweli mabao mawili ya haraka haraka tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…