FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Leo UTO watapigwa kama ngoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Hawa Geita ni kama wanaisumbua mahakama tu ila wamefanikiwa kuondoa clean sheet kwa yanga.
 
Kinacho nifurahisha ni kwamba mpaka muda huu hawana cleansheet
 
Kinacho nifurahisha ni kwamba mpaka muda huu hawana cleansheet
Haha hivi hujui Diara ndie anayeongoza kwa zaidi ya cleansheet nne?
Mmeishiwa furaha ya makombe kabisa mnajifariji kwa cleansheet napo mmezidiwa mbali tu
 
Haha hivi hujui Diara ndie anayeongoza kwa zaidi ya cleansheet nne?
Mmeishiwa furaha ya makombe kabisa mnajifariji kwa cleansheet napo mmezidiwa mbali tu
Diarra ana cleansheet 14, manula jana amepata ya 12 hiyo nne imetoka wapi ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…