FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Mi bado natafakari hii dhana ya umoja inavyofanyika sipati jibu

Mkifungwa automatically wote mnapotea, mkirudisha wote mnarejea

Nachojiuliza mimi, ni huwa mnaambizananga kuwa tupotee au kila mmoja anakimbia kwa utashi wake?
Mwiko nyuma... Nyuma
 
Ina maana kipa asingemgusa, Mzize angeufikia ule mpira?
 
Mzize amemchukua kipa kama Messi akafanyiwa madhambi ndani ya boksi baada ya Yanga kupiga one two safi kabisa .
 
Mi bado natafakari hii dhana ya umoja inavyofanyika sipati jibu

Mkifungwa automatically wote mnapotea, mkirudisha wote mnarejea

Nachojiuliza mimi, ni huwa mnaambizananga kuwa tupotee au kila mmoja anakimbia kwa utashi wake?
Hapana mi siwezi kukimbia kwasababu ya matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…