utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
- Thread starter
- #181
Unaambiwa watanzania wote huwa tunazaliwa tukiwa uto, sema tu ubishi ndio wengine wanajikuta wameangukia mikianiWe naye kumbe Uto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa watanzania wote huwa tunazaliwa tukiwa uto, sema tu ubishi ndio wengine wanajikuta wameangukia mikianiWe naye kumbe Uto?
Mwiko nyuma... NyumaMi bado natafakari hii dhana ya umoja inavyofanyika sipati jibu
Mkifungwa automatically wote mnapotea, mkirudisha wote mnarejea
Nachojiuliza mimi, ni huwa mnaambizananga kuwa tupotee au kila mmoja anakimbia kwa utashi wake?
Ameanya msize aonekane lewandowskyAzizi Ki anapiga pasi kama De Bruyne..
Vyura wanang'ata wafungwa.Umemng'ata nani?
Hapana mi siwezi kukimbia kwasababu ya matokeoMi bado natafakari hii dhana ya umoja inavyofanyika sipati jibu
Mkifungwa automatically wote mnapotea, mkirudisha wote mnarejea
Nachojiuliza mimi, ni huwa mnaambizananga kuwa tupotee au kila mmoja anakimbia kwa utashi wake?
Ukiwa Dunduka vitu vya kiufundi huwezi kuelewa.Aziz ki ni kama de Bruyne ...............
Wa Buza