Huwa sina muda na wapuuzi.Mahaba yatakuua mkuu
Paka fc 🤣Kenge wa kijani wewe, inamaana pia Marefa walifurahi walipotoa kadi mechi zenu Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Ngada/Kolowizards/Zuwena/Kinyume nyume FC dhidi ya Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting kwenye NBC PL hadi mkashinda 5-0, 7-1 na kujidanganya mna strikers wakali sana kumbe ni PUMBA [emoji848][emoji4]
Kinyoonge au sio?
Yanga ingemletea kiti na gazeti huyu golikipa awe anasomasoma
Serious??Prison 2
Umemng'ata nani?Mpira mkali kweli.