FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Kenge wa kijani wewe, inamaana pia Marefa walifurahi walipotoa kadi mechi zenu Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Ngada/Kolowizards/Zuwena/Kinyume nyume FC dhidi ya Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting kwenye NBC PL hadi mkashinda 5-0, 7-1 na kujidanganya mna strikers wakali sana kumbe ni PUMBA [emoji848][emoji4]
Paka fc 🤣
 
Ni faulo wanapata prison eneo zuri pale na beki mwamnyeto analambwa kadi ya njano
 
Faulo eneo alilofungiwa Kolo na Azizi Ki
 
Back
Top Bottom