FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

Walikukanda mkono lakini!
Ndio mtachobakia nacho lakini mkikaa wenyewe kwa wenyewe kuelezea matatizo yenu sidhani kama "nilimkanda mkono Simba" itakuwa ni facts ya kuwaambia wenzako katika mazungumzo ya kutafuta suluhisho
 
Wao wamemsajili eti kwasababu ya kuwakomoa Simba.

Wanajidai wao ndio magwiji wa sports academic kwa ajili ya kurekebisha maadili ya wachezaji walio shindikana.

Wanarudia makosa yao yaleyale ambayo Simba alifanya na sasa ameamua ku move on na huo ushamba.

Ila kama ilivyo kwa Yanga kila kitu cha maendeleo wao huwa wa mwisho kufanya.

Tulianza sisi kuvaa viatu wao wakiwa bado wanacheza matumbo wazi huku wakipekua bila viatu.

Sisi ndio Idol kwenye maendeleo ya mpira na kuleta mabadiliko chanya so wao wakitaka kufanya jambo wanatuangalia sisi tulifanyaje au tunafanyaje
Na Hii tabia ya kutuiga bado wanayo...
 
Simuamini amini sana huyu jamaa hivi kuna scenario yeyote ya faulo aliyochezewa kichwani?

Maana wasiwasi wangu upo kwenye lile box la maoni alimoifadhiwa siku ya utambulisho nahisi ndio lililoleta damage kwenye kichwa..

Inawezekana kwasababu ya haraka haraka ya kumtambulisha mchezaji pengine fundi furniture umakini ukawa mdogo kwenye swala zima la upigaji wa misumari.

Inaweza ikawa ile misumari fundi alivyoipiga kwenye kuunganisha lile box kuingia ndani, hakuipinda kwa chini kuondoa zile sharp, so Okrah alivyoingia kwenye ile Sinagogi huwenda ikamchoma kichwani.

Na akaogopa kulia akihisi ataharibu show

shaffihdauda_-20240104-0001.jpg
 
Simuamini amini sana huyu jamaa hivi kuna scenario yeyote ya faulo aliyochezewa kichwani?

Maana wasiwasi wangu upo kwenye lile box la maoni alimoifadhiwa siku ya utambulisho nahisi ndio lililoleta damage kwenye kichwa..

Inawezekana kwasababu ya haraka haraka ya kumtambulisha mchezaji pengine fundi furniture umakini ukawa mdogo kwenye swala zima la upigaji wa misumari.

Inaweza ikawa ile misumari fundi alivyoipiga kwenye kuunganisha lile box kuingia ndani, hakuipinda kwa chini kuondoa zile sharp, so Okrah alivyoingia kwenye ile Sinagogi huwenda ikamchoma kichwani.

View attachment 2862068
Unachekesha sana.
Mshikaji aligongwa kwenye kichwa
 
Nani mjinga wa kuuziwa gaka karne hii?

Niambie kiongozi gani aliyeangalia hii mechi Huyo akakubali kupokea hawa nothing wa leo kwa mkopo?
Mfano Lomalisa akija kwenu namba 3 wenu atachezea benchi mpaka mwamba aumie.
 
Back
Top Bottom