FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Habib Habib thalanta bin thiful kosi la dunia SHALULILE HAT TRICK
IMG-20240330-WA0531.jpg
 
Akisare tu Yanga nitajiskia vibaya sana yani roho itaniuma mno.

Akishindwa ndio kabisaaaa yani nitapagawa.

Akifungwa nitasahau kama jana namimi nilicheza.

Kushindwa na kufungwa kunatofauti gani?
 
Natangaza mapema kabla ya mechi mimi ni mshabiki wa Mamelodi Ubuntu BOOOOOOOOOTHO

Tunashinda goli 4-0
 
Back
Top Bottom