FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Ningekua na uwezo ningetoa hivi vyeo vya usemaji wa club, yaani haya majinga hayapo professional kabisa

Juzi tu ally kamwe alikua anasema mara Yao ndo kampokea pacome airport, mara aucho yupo fit... Sasa sijui wanatoaga habari za nini
 
Washafahamu nyiny ni mapopoma
 
20240330_201944.jpg
Pacome simuoni!🥺
 
Kila la heri YANGA

Mpira una matokeo matatu
Nipo tayari kwa matokeo yoyote yale
Lakini kikubwa naiombea ushindi YANGA
 
Ningekua na uwezo ningetoa hivi vyeo vya usemaji wa club, yaani haya majinga hayapo professional kabisa

Juzi tu ally kamwe alikua anasema mara Yao ndo kampokea pacome airport, mara aucho yupo fit... Sasa sijui wanatoaga habari za nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mapema sana jamani, kulikoni?
 
Back
Top Bottom