FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Kocha aliweka wazi ya kwamba kuwachezesha hao wachezaji kwenye hii mechi huku wakiwa bado hawapo fit kwa 100%, ingekuwa ni risk kubwa.

Na katika hili, hata mimi ninamuunga mkono. Bora awaache ili wawe fit zaidi kwenye mechi ya marudio.
Mimi pia naunga mkono acha wapone kabisa
 
Mbona hiki kikos sikielew na nimeweka mkeka wa draw...Yanga kweli droo inapatikana
IMG_0384.jpeg
 
Back
Top Bottom