FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Akisare tu Yanga nitajiskia vibaya sana yani roho itaniuma mno.

Akishindwa ndio kabisaaaa yani nitapagawa.

Akifungwa nitasahau kama jana namimi nilicheza.

Kushindwa na kufungwa kunatofauti gani?
 
Natangaza mapema kabla ya mechi mimi ni mshabiki wa Mamelodi Ubuntu BOOOOOOOOOTHO

Tunashinda goli 4-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…