FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Muamini mkude yupo vizuri akitulia Leo mamelodi hachomoki labda draw akijitahidi
Ni mara 100 anacheza Mkude hiyo namba kwa sababu ni mzoefu na ni mpigaji mzuri wa pasi ndefu za counter attack. Ila angeanza Sure Boy kwenye hiyo namba kama alivyochezeshwa kwenye mechi na Azam, aisee hata mimi ningeingiwa na hofu.

At least kikosi kimejaa wachezaji wenye experience ya kutosha.
 
Leo ndio siku ya Mkude kurudisha heshima yake na kuonesha yeye ni mkongwe wa michuano hii, uzuri Mamelodi hawakuwa na hesabu naye.

Hiki kikosi kinakwenda kuwaduwaza wanaoishi Kwa mazoea.

Narudia tena, Mkude Leo anakwenda kurudisha heshima yake.
 
Kaka nimefurahi mkude yupo,hajaanza sure boy..pengo la aucho halitaonekana
Mkude ndio replacement ya Aucho

Leo tutasikia mengi sana.

Baada ya game nitajifunza maneno mapya ya mtu aliyekata tamaa
 
Kumbe tuna taka tuka malizie match south okay okay ,kwaiyo mme sema pale mbele yupo mzizee afu kuna mkude ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]maumivu per day
 
Leo ndio siku ya Mkude kurudisha heshima yake na kuonesha yeye ni mkongwe wa michango hii, uzuri Mamelodi hawakuwa na hesabu naye.

Hiki kikosi kinakwenda kuwaduwaza wanaoishi Kwa mazoea.

Narudia tena, Mkude Leo anakwenda kurudisha heshima yake.
Watu wanakariri tu naona wamemsahau mkude mwenyewe mwenye kipaji chake

Acha tuone leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…