United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Mashabaki wa Vyura washapagawaa piga haooo Nyuma mwikoHii mechi ya leo kwa hiki kikosi kuleni daku mapema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabaki wa Vyura washapagawaa piga haooo Nyuma mwikoHii mechi ya leo kwa hiki kikosi kuleni daku mapema.
Wahi kibanda umiza tuuYaani nimelipia tiketi naishia kupigwa mabomu huku nje 🥲😭😭😭😭😭
Ni mara 100 anacheza Mkude hiyo namba kwa sababu ni mzoefu na ni mpigaji mzuri wa pasi ndefu za counter attack. Ila angeanza Sure Boy kwenye hiyo namba kama alivyochezeshwa kwenye mechi na Azam, aisee hata mimi ningeingiwa na hofu.Muamini mkude yupo vizuri akitulia Leo mamelodi hachomoki labda draw akijitahidi
Uzalendo unatangulia kwanza, mengine baadae...Wewe naye huaminikagi
Sio utucheke baadaye
Beki mwenyewe Mwamnyeto 😂😂😂Hatufi kiume bali tutaua kiume,, tumesubiri
sana hatimaye muda umefika tukutane kwenye screen saa3 kwa kandanda matata sana.
Sawa..hapa sio muda naingia kulala, nitaamka saa 5 kuangalia matokeo 😂Punguza pressure! Tuombe Mungu kwani lolote linawezekana KUFUNGA inawezekana KUFUNGWA inawezekana.
Mkude ndio replacement ya AuchoKaka nimefurahi mkude yupo,hajaanza sure boy..pengo la aucho halitaonekana
Sawa..hapa sio muda naingia kulala, nitaamka saa 5 kuangalia matokeo 😂
Chukua Boda Nenda liquid Uhasibu ucheki mechi acha kushangaaYaani nimelipia tiketi naishia kupigwa mabomu huku nje 🥲[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Huna imani na kocha wako boss?Kwa kikosi hiki cha Gamond tuhesabu maumivu tu.
Poleni aisee...Yaani nimelipia tiketi naishia kupigwa mabomu huku nje 🥲😭😭😭😭😭
Kocha hacheziHuna imani na kocha wako boss?
Watu wanakariri tu naona wamemsahau mkude mwenyewe mwenye kipaji chakeLeo ndio siku ya Mkude kurudisha heshima yake na kuonesha yeye ni mkongwe wa michango hii, uzuri Mamelodi hawakuwa na hesabu naye.
Hiki kikosi kinakwenda kuwaduwaza wanaoishi Kwa mazoea.
Narudia tena, Mkude Leo anakwenda kurudisha heshima yake.