FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Leo ndio siku ya Mkude kurudisha heshima yake na kuonesha yeye ni mkongwe wa michango hii, uzuri Mamelodi hawakuwa na hesabu naye.

Hiki kikosi kinakwenda kuwaduwaza wanaoishi Kwa mazoea.

Narudia tena, Mkude Leo anakwenda kurudisha heshima yake.
Mlikuwa wapi kumpa recognition hii kwenye mechi zote?

Mnasubiri mpaka mchezaji wa hiyo namba apate pancha ndio mumtumie kama kilaka?

Payments is here here (malipo ni hapa hapa)
 
Katika kupatia hapa kwa mkude kapatia sana kocha

Jamaa lipo vizuri sana kwenye kupiga pasi ndefu

Na nadhani kocha Leo kapanga kupiga pasi ndefu ndio maana kamtumia Leo ,angetaka fupi fupi angeanza sureboy
 
Yanga anafungwa 3 kwa 1 baada ya mechi rudi kwenye hii post.

Mimi ni mchambuzi wa soka la kimataifa.
 
Leo ndio siku ya Mkude kurudisha heshima yake na kuonesha yeye ni mkongwe wa michuano hii, uzuri Mamelodi hawakuwa na hesabu naye.

Hiki kikosi kinakwenda kuwaduwaza wanaoishi Kwa mazoea.

Narudia tena, Mkude Leo anakwenda kurudisha heshima yake.
Kila laheri Nungunungu....

Ila ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…