FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Daaahh!!. Nilikua na was was ila kwasasa was was umezid.. yan naona waz kabisaaaa uwanja ushainama kwa kikosi hiki. Nishayakumbuka maneno ya Tate Mkuu kuwa hamuamin kabisa Gamondi
Ila kwenye hiki kikosi cha leo siwezi kumlaumu kocha. Maana hakuwa na namna nyingine. Pacome, Kwasi na Aucho bado hawajapona kwa 100%.
 
Sisi tuliomuacha unadhani hiyo mipira yake mirefu hatukuiona?

Ngoja tu muda utimie mtasema yote
 
Mlikuwa wapi kumpa recognition hii kwenye mechi zote?

Mnasubiri mpaka mchezaji wa hiyo namba apate pancha ndio mumtumie kama kilaka?

Payments is here here (malipo ni hapa hapa)
Mtakaoumia NI nyinyi Kwa ball atakalotandaza mtaanza kutafuta mchawi aliyemwacha.

Sasa mseme mapema aliyemwacha NI Mangungu au Try again?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…