Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama unajuwa Mpira mpe heshima yake Mkude.Mkude ndio replacement ya Aucho
Leo tutasikia mengi sana.
Baada ya game nitajifunza maneno mapya ya mtu aliyekata tamaa
Ni msimu huu tu ndio hayupo Simba, robo fainali zote mlizoingia zina mchango mkubwa wa Mkude.