FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Ubuntu Botho
Uzalendo jamani
FB_IMG_1711756511496.jpg
 
Daaahh!!. Nilikua na was was ila kwasasa was was umezid.. yan naona waz kabisaaaa uwanja ushainama kwa kikosi hiki. Nishayakumbuka maneno ya Tate Mkuu kuwa hamuamin kabisa Gamondi
Ila kwenye hiki kikosi cha leo siwezi kumlaumu kocha. Maana hakuwa na namna nyingine. Pacome, Kwasi na Aucho bado hawajapona kwa 100%.
 
Ni mara 100 anacheza Mkude hiyo namba kwa sababu ni mzoefu na ni mpigaji mzuri wa pasi ndefu za counter attack. Ila angeanza Sure Boy kwenye hiyo namba kama alivyochezeshwa kwenye mechi na Azam, aisee hata mimi ningeingiwa na hofu.

At least kikosi kimejaa wachezaji wenye experience ya kutosha.
Sisi tuliomuacha unadhani hiyo mipira yake mirefu hatukuiona?

Ngoja tu muda utimie mtasema yote
 
Mlikuwa wapi kumpa recognition hii kwenye mechi zote?

Mnasubiri mpaka mchezaji wa hiyo namba apate pancha ndio mumtumie kama kilaka?

Payments is here here (malipo ni hapa hapa)
Mtakaoumia NI nyinyi Kwa ball atakalotandaza mtaanza kutafuta mchawi aliyemwacha.

Sasa mseme mapema aliyemwacha NI Mangungu au Try again?
 
Back
Top Bottom