FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

utopwinyo hamuna tofauti na sisi jana munapoteza nafasi mutaziwekea matanga kule swauzi afrika
 
Mapapara na ujinga waliofanya Simba Jana ndio huu huu unaendelea,zero finishing,papara na kuangalia chini yaani hata kujifunza Kwa wengine hakuna
 
Yeah jamaa wame invest , wanapata shida na Yanga sababu kuna namna Yanga anacheza ule mpira wa SSC na Yanga
Hizo ni techniques tu mkuu, kama wao wame invest sasa kjnawazuia nini ku comply na investment yao? Hapo kwenye pitch ni mbinu tu na akil za wachezaji hakuna pesa wala uwekezaji hapo!
 
Goli ni goli bila kujali limepatikana dakika ya ngapi iwe ni sekunde ya kwanza ya mchezo au dakika za nyongeza.

Mtu yoyote yule anaeujua mpira hawezi kuja point nyepesi kama yako, unless awe ni mkata nyanya jikoni huko.
Haya magazeti wanayanga hatusomi. Huo ushauri muandikie mangungu huenda ukamsaidia robo fainali msimu ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…