FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Kwamba Uto mnataka sare ili mkashinde south Africa

Mmeyatimba 😂😂😂😂🐸🐸🐸🐸
 
Sio kweli.
Ili mbinu ifanye kazi unahitaji watu makini,na watu makini huwezi kuwapata bila investment ya uhakika
Sasa hao wamewekeza kuliko yanga mbona watu wao sasa wanashindwa kuitendea haki investment value yao
 
Kumbe mamelody wa kawaida sana, dah tusingekua na injury ya yaoyao,pacome na aucho! Hawa masanda wangeeleza kwanin Bata anaharisha maisha yake yote.
 
Back
Top Bottom